Kesho bandikeni bendera za vyama vyenu kanisani tujue kabisa kuwa sasa mnafanya siasa kanisani kwenu msitumie mwamvuli wa kanisa wahuni kabisa nyie.
Simiyu yetu tuwe na uzalendo na nvhi...mimi ni ccm kwa mika 20 sasa tuache ushabiki usio na faida kwa nchi...hivi unona ni.sawa pesa zinazoteketea Dodoma wakati tunjua kabisa hakuna katiba mpya?wakati mwingine tuache uzandiki wa kichama tuwaonee.huruma wananchi..Ndugu kanisani kwenu mnafanya siasa hakika kanisa lenu ni kanisa la shetani kabisa basi wambie viongozi wako jumapili ijayo waje kuwagawia kadi kabisa za chama chenu cha siasa.

unaikumbuka ile avatar yake? naona kabadilishakumbe ni wewe......sishangai