Michael Ngusa
JF-Expert Member
- Aug 4, 2014
- 1,637
- 463
Ina maana hiyo simu ina 4G peke yake bila 2G wala 3G? Nauliza hivyo kwa kuwa unaaema internet unapata kwa wifi tu. Nahisi hujaset APN .
Halafu nashauri kutuma tatizo kwenye jukwaa linalohusika si kila mtaalam wa mambo haya anangia humu.
Wadau,
Juzi nimenunua simu ya Sony v10, yenyewe hata pale juu inaonyesha tu 4G hivyo hata nikiweka bundle na kuconnect Internet sipati kitu, mtu mmoja aliniambia kuwa ni lazima niwasiliane na Airtel ili wai-enable line yangu kuwa 4G. But hamna njia ingine ya mimi kuconnect Internet kwa simu yangu (mbali na WIFI)?
Asanteni.
Kama inaandika 4G hata kama hakuna sim card tambua simu yako ni feki.
Simu za mtindo huo zipo nyingi sana huwezi ku-connect kwenye internet kwa kutumia sim card hata ikikubali itafunguka kwa mfumo wa 2G lakni wewe utaona alama ya 4G.
Ili kuhakikisha kama sio copy toa line halafu iwashe, Kama haitaonyesha 4G fanya setting za network.
nenda mobile netowrk kwenye network mode angalia kama kuna 3g/2g/4g kama hakuna kuna 2g/3g tupu basi ni simu ya kimarekani walikuwa na tabia ya kuwadanganya wateja wao h+ ni 4g.
Wadau,
Juzi nimenunua simu ya Sony v10, yenyewe hata pale juu inaonyesha tu 4G hivyo hata nikiweka bundle na kuconnect Internet sipati kitu, mtu mmoja aliniambia kuwa ni lazima niwasiliane na Airtel ili wai-enable line yangu kuwa 4G. But hamna njia ingine ya mimi kuconnect Internet kwa simu yangu (mbali na WIFI)?
Asanteni.
haaaaa mkuu hakuna simu inaitwa sony v10 ni mchina huyo na hana la kufanya