Nina wasalimu wadau wote mliko humu. Nina tafuta chumba cha kuishi ,maeneo ya ubungo mawasiliano . ninataka single room , kiwe self-contain , dirisha aluminium ,na kiwe ndani ya fence , bae kisiwe juu ya 100,000/=