TEKNOLOJIA
JF-Expert Member
- Jan 6, 2014
- 4,305
- 2,564
Sasa huju Jf unamwambia nani,siuende kwenye msiba ili wakupe kurithi nafasi ya mzee wa msituni
Kuna wanaCCM ambao wapo radhi kuipigania CCM yao vyovyote vile wawezavyo,hata ikibidi kuyaweka maslahi ya nchi pembeni watafanya hivyo.Tumeona kashfa nyingi za ufisadi zilizoiandama serikali ya CCM na jinsi wanaCCM walivyosimama kidete kukitetea chama chao.Wamefikia hatua ya kuwanadi Kwenye mitandao ya kijamii baadhi ya wahusika wa ufisadi kugombea kuongoza ofisi kubwa kabisa hapa Tanzania ya urais.
Hizi ndizo aina ya siasa tunazozihitaji hapa Tanzania?
Nchi kwanza vyama mwisho.Nchi itadumu lakini vyama vitaishia recycle bins
Sasa huju Jf unamwambia nani,siuende kwenye msiba ili wakupe kurithi nafasi ya mzee wa msituni
Mh amakweli ukimshangaa Yasunta utabutwaa na ya #TEKNOLOJIA
Dah watu tunatofautiana sana
Kuna wanaCCM ambao wapo radhi kuipigania CCM yao vyovyote vile wawezavyo,hata ikibidi kuyaweka maslahi ya nchi pembeni watafanya hivyo.Tumeona kashfa nyingi za ufisadi zilizoiandama serikali ya CCM na jinsi wanaCCM walivyosimama kidete kukitetea chama chao.Wamefikia hatua ya kuwanadi Kwenye mitandao ya kijamii baadhi ya wahusika wa ufisadi kugombea kuongoza ofisi kubwa kabisa hapa Tanzania ya urais.
Hizi ndizo aina ya siasa tunazozihitaji hapa Tanzania?
Kuna wanaCCM ambao wapo radhi kuipigania CCM yao vyovyote vile wawezavyo,hata ikibidi kuyaweka maslahi ya nchi pembeni watafanya hivyo.Tumeona kashfa nyingi za ufisadi zilizoiandama serikali ya CCM na jinsi wanaCCM walivyosimama kidete kukitetea chama chao.Wamefikia hatua ya kuwanadi Kwenye mitandao ya kijamii baadhi ya wahusika wa ufisadi kugombea kuongoza ofisi kubwa kabisa hapa Tanzania ya urais.
Hizi ndizo aina ya siasa tunazozihitaji hapa Tanzania?
Ni hivi , ccm inalipa kuliko Tanzania , huyu hakwenda Tanzania lakini kaenda ccm , si unaona ?Kuna wanaCCM ambao wapo radhi kuipigania CCM yao vyovyote vile wawezavyo,hata ikibidi kuyaweka maslahi ya nchi pembeni watafanya hivyo.Tumeona kashfa nyingi za ufisadi zilizoiandama serikali ya CCM na jinsi wanaCCM walivyosimama kidete kukitetea chama chao.Wamefikia hatua ya kuwanadi Kwenye mitandao ya kijamii baadhi ya wahusika wa ufisadi kugombea kuongoza ofisi kubwa kabisa hapa Tanzania ya urais.