hayo ndio maneno.ngoja na wewe nikuandalie plain cheque niandike jinala lako tu alafu utaniambia niandike kiasi gani kitakacho kutosha
hayo ndiyo maneno we piga mahesabu mwenyewe,
castle lite 10
mguu wa nyuma wa mbizi
ndizi 4
bila kusahau ulimi wa kuanzia mda nasubiria mbuzi ichomwe na zingine nimetoa offa kwako wewe mweka hazina
hayo ndiyo maneno we piga mahesabu mwenyewe,
castle lite 10
mguu wa nyuma wa mbizi
ndizi 4
bila kusahau ulimi wa kuanzia mda nasubiria mbuzi ichomwe na zingine nimetoa offa kwako wewe mweka hazina
Kuachwa kuachwa aa
kuachwa ni shughuli pevu
Mbaya zaidi kwa yule uliyempenda wewe unakonda yeye ananenepa..
(Source mapacha watatu)
haya sasa!.....unafuraha mpaka unavibrate,wewe!wewe kiumbe wewe!,wewe.....we ngoja
ulichumbia kicheche badala ya sungura?
......... ............ ........... ...........
Shemeji kilichotokea na kinachoendelea kutoka unakijua sana tena kuliko hata mimi.na nikikubwa zaidi kuliko hata hzo gharama za nguo za harus kupotea,usijal orodhesha gharama kisha unijulishe ni kias gani mim ntalipa mara 3.Lakn unafahamu sana juu ya kinacho endelea,wala usilie shemeji yangu
wala cjui chochote shemeji, me hata hzo gharama nitasamehe, unanicngiziaga, me nataka 2 kujua kilichotokea, au ndo mana mamaa kasafiri gafla? Mana katwambia naenda TA kupumzisha akili kabla ya haruc, au ndo kakukimbia kijanja? Ntalia mimi iiiiiiiiwwaaaaaaaaahhiiiiiii
ubaya uliuanza zamani wakati ungali mdogo
Haya unayoyafanya sasa si ajabu duniani
(source DDC Mlimani park)
Unakumbuka tulikuambia huyo demu hafai ukadai tunakuonea gere??!
Hujiulizi kwanin ukinipigia simu unasikia wimbo "Huyo Sio Demu" wa Abdul Kiba feat. Ney??!!
Kwa taarifa yako tabia za huyo demu, Wema "anasubiri" kando.