Ninafanya computer maintenance through internent

buffaro89

JF-Expert Member
Jul 12, 2016
592
378
wadau habali zenu!
ninafanya computer maintenance kwa kutumia teamviewer, yani ninaweza kulekebisha computer yako nikiwa hukuhuku kwangu na wewe ukiwa hukohuko kwako. bila kuonana wala hata kupigiana simu! muhimu tuu ni internet yako,na Computer yako tuu!

shughuri nazo weza kukufanyia ni kama zifuatazo.
1. Program installation eg. Mc office,Ant-virus,Accounting Packages na kadhaliki hizi ninazo uku na ninaweza nikakuwekea ukiwa uko.
2. Printer Connection and fix errors!
3.Computer Practicing!
4. na vingine vingi vitakavyo wezekana!
nitafute kupitia email: consultbusiness7@gmail.com
au ni PM.
 
Back
Top Bottom