Ninachokikumbuka katika maisha ya ujanani...............ila sasa hivi sijui!!!!!!!!

Nikiwa nimeanza kubarehe nikiwa mkoa wa tabora na maisha ya shule...nakumbuka sikupata mtu wakunipoza moto niliokuwa nao wa ngono....nikawanateseka....maisha yangu yakawa ni Masturbation daily x3!!Usicheke!!!
Baada yaumri kusogea na wadada kuwa wananikubali nikawa na kijinotbook changu na horodhesha....nikhamia mbeya napenyewe nikaendeleza mpaka nikapata idadi ya mademu 59!!!Mwaka 1992.........Ila baadae mambo ya maisha yakapanda mda wakuandika nikawa sina.....kwasasa hata sijui idadi ya wapenzi niliokwisha kutana nao!!......Je wewe unaweza ukajua idai uliyokwisha kukutana nayo????Mchana mwema....!

Kaka sijakuona longtime, hii kali! ngoja niwaorodheshe nione watafika wangapi. Nitakuja hapa na idadi kamili.
 
Bado unatongoza wengine siku za leo??
Nataka kwani nguvu zipo nini shida ila tatizo sijajua unatakiwa ugonge wangapi!!i wish ningelijua nijue kama nimefikia robo,nusu!!au robo tatu!!
 
Hivi siku hizi kuna ambaye anathubutu kuwa na wapenzi wengi? Ukifunga macho ukatafakari maisha ya mbeleni kwako huku ukiangalia dependants wengi kwa ndugu zako ambao ni orphans, na wale orphans ambao wengine wameshasahau wazazi wao sura na wanalelewa vituo visivyo na huduma, na wale watoto wa mitaani amboa wengi wao siku hizi ni oprhans ambao wamekimbia maisha ya manyanyaso kwa walezi basi utafunga chupi lako na kofuli au kuzingatia ABC= Abstain, Be faifhtful to one partner, ukikabwa sana use condom!!!!!!! But usiendekeze mazoea na ushamba wa kuwa na mademu au wanaume kibao, ni hasara kwako hata kama huna familia but wakati unatumia ARV ndipo unajilaumu "LAITI NINGELIJUA"
 
sio sifa kwakweli ila past za sisi wengine mmmnh......................yaani mi wakishikana mikono hivi wanaweza hata kufika chalinze toka ubungo!
 
Hivi siku hizi kuna ambaye anathubutu kuwa na wapenzi wengi? Ukifunga macho ukatafakari maisha ya mbeleni kwako huku ukiangalia dependants wengi kwa ndugu zako ambao ni orphans, na wale orphans ambao wengine wameshasahau wazazi wao sura na wanalelewa vituo visivyo na huduma, na wale watoto wa mitaani amboa wengi wao siku hizi ni oprhans ambao wamekimbia maisha ya manyanyaso kwa walezi basi utafunga chupi lako na kofuli au kuzingatia ABC= Abstain, Be faifhtful to one partner, ukikabwa sana use condom!!!!!!! But usiendekeze mazoea na ushamba wa kuwa na mademu au wanaume kibao, ni hasara kwako hata kama huna familia but wakati unatumia ARV ndipo unajilaumu "LAITI NINGELIJUA"
Wewe ni mwekezaji duniani???
 
Binafsi namshukuru Mungu kwamba bado niko hai..ila orodha haisemeki! Of course sio kitu cha kujisifia sana!
 
Duu kama ni ushamba wa kutojichanganya/kuwa na idadi kubwa basi mi mshamba jaman....
 
sure, ndugu, wat u ar saying is 100% sure....maisha nowdays sio ka zamani,...kidogo tuu. tunakupoteza...afu mtaanza kutupa tabu arv,....,lets be more careful...coz ths is our life...amna life lingine...
 
Smile hicho kizhungu chako sawa bana.When you will be available?Duhh upo single kweli wewe acha hizo mazeee...Mimi nipo poa mazeeeee...
hebu nibipu mkuu nilipoteza number yako....uliniona nipo na mtu kwani?
 
Back
Top Bottom