Ninacho Amini kuhusu Mapenzi ya Sasa..!!

au broo unakabendera ka kuclean up.....? samahani kwa wale ma leigwanani wa Ar aka Chugaa!

teh teh teh teh umenifanya nicheke mkuu,jawabu ni HAPANA niko vizuri kijando,naelewa nini nilicho zungumza,na inaniuma sana napo ona vijana wenzangu wanapo angaika juu ya mapenzi...

Embu jiulize ni kwanini daily matatizo ya mapenzi na uzani yanaongezeka ktk jamii,?then rudi kwenye mada hapo juu utaelewa kile nimesema.
 
Sema jando la kikurya na jando la hospital.

teh teh teh kwani jando la kikurya likoje.?

Nb.samahani wa kurya ila nataka kujua je lina fanana kama na la wazaramo,wachaga,wasukuma au.?
 
Ukipenda kutafuta visa ktk mapenzi,lazima yakushinde.
 
kWA HIYO WALIOTAHIRIWA NA MANESI KUWAFIKISHA WENZI WAO

KILIMA CHA MLIMA KILIMANJARO NI SHIDA!!!!!!!!!!!!!!

Mambo mengine ni kudharauliana jamani daaah, asa me mbona nimetairiwa hospitali na babu yangu doctor na nina sifa kamili za kiume na niliowahi kuwa nao wamedhibitsha?? au kuna tofauti ya kutairiwa na manesi na doctor pia??
 
mkuu kinachozungumzwa hapo ni elimu wanayo pewa wale walio tahiriwa porini kitu ambacho wa hospitali hawapewi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…