Mapenzi ya mekua shida sana hasa kwa wakati huu kwa vijana wengi... Wanaume wanalia kula kukicha.. wanawake ndio tabu tupu daily.
Nacho amini kwa mtazamo wangu vijana wengi sana hujihusisha na ngono na sio mapenzi ilihali hawajui ni nini wanakitaka kutoka kwa wapenzi wao.
Hapa ndipo matatizo yanapo anza na vijana kujiona ni bora kuchezea hisia za watu bila sababu ya msingi...kutokana na hayo huzaliwa majanga makubwa mawili toka pande zote KE na ME, wana wake huamua kua {mizinga material} na wanaume huamua kua {papuchi material}
hapa ndipo tunapo toa shuhuda mbali mbali kuhusu kusurubiwa na wapenzi wetu kila uchwao,mala vibamia,mala demu wangu ana caldela{ k } kubwa,mala bila pesa sikupi papuchi,mpango wa kando, k inamaji,cjui kukavu uko chini, na matatizo mengne mengi sana.
"Nacho amini ni kwamba,ukiwa mwanaume kweli ulie tairiwa polini,{sio na nesi} uwezo wa kumfikisha mwanamke yeyote kileleni unao,hata uwe na kibamia na demu awe na caldela atafika tu"
"mwanamke ni mtoto,umleavyo ndivyo akuavyo,mwanaume unanafasi kubwa sana ya kumshape ktk harakati za uchumba na atakua wife material tu"
"mwanamke lazima awe tayari kuingia ndoni,aonyeshe upendo,aoneshwe upendo pia,kileleni atafika,wife materia atakua,na watoto atakuzalia na kukuheshimu mumewe"
"kuna tofauti kubwa kati ya mapenzi na ngono" vijana wa sasa tunajua ngono sana na hatufahamu chochote kuhusu mapenzi" ndio mana daily watu wanachezeana tu!
"tamaa,ubinafsi,kuto kujua majukumu yako ktk uhusiano,kuto eshimiana ndio misingi wa kuvunjika mahusiano mengi kwa sasa.
Nb: upendo ndio kila kitu ktk mapenzi,ukiwa na upendo mengne mazuri yanakuja tu.
Wapendeni kwadhati wapenzi wenu,tambueni hakuna alie perfect,kukoseana kupo,ombaneni mi samaha,samehe kwa dhati si kwa unafki,msipende kutafuta visa kila siku kwa wapenzi wenu,amini mtafika mbali sana..
Finito..
Nadhani umetoa soko zuri...
Swali; je unadhani kizazi cha JK kinajali unayoyasema?
you are right ,whatever you have said here is of great important.
Tuibalishe mitazamo yetu na fikra kuhusiana na mapenzi,mapenzi bado yana nafasi ya kuwa chanzo kizuri na kikubwa cha furaha na mafanikio,wote wakaka kwa wadada tuoneshe na kutenda upendo wa kina kwa wapenzi wetu,its possible!play your part!
Kusalimika ni ngumu kama hamtoacha zinaa kumantain ni kazi kama hamna stamina.
=====================
Ukipata Ujumbe wa chuki matusi futa delete kabisa
=====================
dah kweli imani kitu cha ajabu sana, kupigwa mkasi bila bila dawa za kupunguza maumivu, kisu kimoja kwa watu zaidi ya mia, na mambo mengi ya ajabu huko porini eti kuwafanye wa porini kuwa bora zaidi, SI KWELI hata, ila ungenambia ile elimu ya maisha ya mahusiano itolewayo porini ni sawa na ndo kitu tunachokikosa kwa madokta wetu huku mahospitalini..kunatofauti kubwa kati ya jando la porini na hospitali..
umeanza vizuri ila umecorrupt file kuanzia kwenye highlighted words...shallow mind!!!!!!!Mapenzi ya mekua shida sana hasa kwa wakati huu kwa vijana wengi... Wanaume wanalia kula kukicha.. wanawake ndio tabu tupu daily.
Nacho amini kwa mtazamo wangu vijana wengi sana hujihusisha na ngono na sio mapenzi ilihali hawajui ni nini wanakitaka kutoka kwa wapenzi wao.
Hapa ndipo matatizo yanapo anza na vijana kujiona ni bora kuchezea hisia za watu bila sababu ya msingi...kutokana na hayo huzaliwa majanga makubwa mawili toka pande zote KE na ME, wana wake huamua kua {mizinga material} na wanaume huamua kua {papuchi material}
hapa ndipo tunapo toa shuhuda mbali mbali kuhusu kusurubiwa na wapenzi wetu kila uchwao,mala vibamia,mala demu wangu ana caldela{ k } kubwa,mala bila pesa sikupi papuchi,mpango wa kando, k inamaji,cjui kukavu uko chini, na matatizo mengne mengi sana.
"Nacho amini ni kwamba,ukiwa mwanaume kweli ulie tairiwa polini,{sio na nesi} uwezo wa kumfikisha mwanamke yeyote kileleni unao,hata uwe na kibamia na demu awe na caldela atafika tu"
"mwanamke ni mtoto,umleavyo ndivyo akuavyo,mwanaume unanafasi kubwa sana ya kumshape ktk harakati za uchumba na atakua wife material tu"
"mwanamke lazima awe tayari kuingia ndoni,aonyeshe upendo,aoneshwe upendo pia,kileleni atafika,wife materia atakua,na watoto atakuzalia na kukuheshimu mumewe"
"kuna tofauti kubwa kati ya mapenzi na ngono" vijana wa sasa tunajua ngono sana na hatufahamu chochote kuhusu mapenzi" ndio mana daily watu wanachezeana tu!
"tamaa,ubinafsi,kuto kujua majukumu yako ktk uhusiano,kuto eshimiana ndio misingi wa kuvunjika mahusiano mengi kwa sasa.
Nb: upendo ndio kila kitu ktk mapenzi,ukiwa na upendo mengne mazuri yanakuja tu.
Wapendeni kwadhati wapenzi wenu,tambueni hakuna alie perfect,kukoseana kupo,ombaneni mi samaha,samehe kwa dhati si kwa unafki,msipende kutafuta visa kila siku kwa wapenzi wenu,amini mtafika mbali sana..
Finito..
Mbona mi wa kwa nesi halafu huwa unafika kwenye hicho kilele..?? Asitutanie huyo....kWA HIYO WALIOTAHIRIWA NA MANESI KUWAFIKISHA WENZI WAO
KILIMA CHA MLIMA KILIMANJARO NI SHIDA!!!!!!!!!!!!!!
Mbona mi wa kwa nesi halafu huwa unafika kwenye hicho kilele..?? Asitutanie huyo....
kunatofauti kubwa kati ya jando la porini na hospitali..
dah kweli imani kitu cha ajabu sana, kupigwa mkasi bila bila dawa za kupunguza maumivu, kisu kimoja kwa watu zaidi ya mia, na mambo mengi ya ajabu huko porini eti kuwafanye wa porini kuwa bora zaidi, SI KWELI hata, ila ungenambia ile elimu ya maisha ya mahusiano itolewayo porini ni sawa na ndo kitu tunachokikosa kwa madokta wetu huku mahospitalini..
umeanza vizuri ila umecorrupt file kuanzia kwenye highlighted words...shallow mind!!!!!!!
Mbona mi wa kwa nesi halafu huwa unafika kwenye hicho kilele..?? Asitutanie huyo....
umeanza vizuri ila umecorrupt file kuanzia kwenye highlighted words...shallow mind!!!!!!!
Si ndio maana na mie nikashangaa
au broo unakabendera ka kuclean up.....? samahani kwa wale ma leigwanani wa Ar aka Chugaa!wanawake wengi sio wakweli,ni asilimia kubwa hawajawai kufikishwa kileleni,tambua kuna aina 2 za vilele, crital&g spot ,wengi wenu huishia kwenye io ya kwanza,na ninaimani hata wewe haujawai kufikishwa kilele cha g..