Miss Precious
Member
- May 1, 2017
- 46
- 77
Habari Wana Jamii forum wenzangu,
Ninaandaa na kusambaza kuku wa kisasa kwa order majumbani, yaani ninachinja mwenyewe, ninamnyonyoa na kumsafisha vizuri, pia nina mkatakata na kumpack kuku mzima kutoa kichwa tu (wengi wao hawapendagi), kisha ninasambaza majumbani kwa order maalumu....
Unaweza ukanipa order ya nyumbani tu nitakutengenezea na nitakuletea ikabaki kuwapika, au pia naweza nikakuandalia kuku kwa ajili ya sherehe au hafla ndogo ndogo kwa order na kulingana na makubaliano ya idadi yako hutakayo!
Nipo Dar es Salaam... ninaanzia kutengeneza kuku 10.... Nipe order yako leo"!!.
Mawasiliano
+255655164257 whatsapp
au njoo Private Massage.
Karibuni Sana.
Sent using Jamii Forums mobile app