Ninaandaa na kuuza kuku wa kisasa

Ninaandaa na kuuza kuku wa kisasa

Miss Precious

Member
Joined
May 1, 2017
Posts
46
Reaction score
77
Habari Wana JamiiForums wenzangu, natumaini Mu-wazima,

Ninaandaa na kusambaza kuku wa kisasa kwa order majumbani, na kwingineko, yaani ninachinja mwenyewe, ninamnyonyoa na kumsafisha vizuri, pia nina mkatakata na kumpack kuku mzima kutoa kichwa tu (wengi wao hawapendagi vichwa ukipenda nakuwekea pia), kisha ninasambaza majumbani kwa order maalumu.

Unaweza ukanipa order ya nyumbani tu nitakutengenezea na nitakuletea ikabaki kuwapika, au pia naweza nikakuandalia kuku kwa ajili ya sherehe au hafla ndogo ndogo kwa order na kulingana na makubaliano ya idadi yako utakayo.

Nipo Dar es Salaam ninaanzia kutengeneza kuku 10 na kuendelea nipe order yako leo".

Mawasiliano
+255655164257 whatsapp
au njoo Private Massage.

Karibuni sana.
 
Mimi naona nitakuhitaji wewe kabla ya kuku..!

Umeoolewa, nikukupata wewe kuku siwezi mkosa bila shaka..
Dah....muyagwe unakhorosha mazanga ya mdasha.....maana yeye amekudelisha mcharo wote but we unambalanga mibanga ya mlacha ambayo haina hata mlachawe wa sence.

SONY Xperia Z5 Premium
 
Back
Top Bottom