MalumeNdago
Member
- Jan 8, 2018
- 17
- 19
Akiitoa tu watu wataiiba idea yake ndo shida hyo na bila kusema hyo idea watanzania hawawezi kumwelewa ndo tatizo linaanzia hapoidea gani?
Vyema ukasoma vitabu vinavyo elekeza jinsi ya kumiliki wazo lako la kibiashara,anzia hapo kwanza then kila kitu kitakuwa clearHabari,
Mimi ni kijana Nina idea ya kutengeneza app kwa soko la Tanzania Na baadae inaweza kutanuka kwenye nchi za jirani. Ni idea ambalo tatizo lake bado watu hawajalitatua hivyo kuna uwezekano lika tick. Shida Kuu ni sijasoma mambo ya IT Na sina hela nyingi za kuweza ku finance project nzima?
Naomba ushauri nianzie wapi?
Mwiz tu uyo hamna lolote aweke io idea hapa au anichek maana unaweza kujiona genious kumbe io kazwatu washafanyaAkiitoa tu watu wataiiba idea yake ndo shida hyo na bila kusema hyo idea watanzania hawawezi kumwelewa ndo tatizo linaanzia hapo
idea gani?
idea ipi ?
Akiitoa tu watu wataiiba idea yake ndo shida hyo na bila kusema hyo idea watanzania hawawezi kumwelewa ndo tatizo linaanzia hapo
Tafuta mtu/mtaalam wa hayo mambo unaye muamini mpe idea zako atengeneze iwe ya wote
UKIANZA NA MIMI
Mwiz tu uyo hamna lolote aweke io idea hapa au anichek maana unaweza kujiona genious kumbe io kazwatu washafanya
Vyema ukasoma vitabu vinavyo elekeza jinsi ya kumiliki wazo lako la kibiashara,anzia hapo kwanza then kila kitu kitakuwa clear
Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
Muda na pesa weka idea hpa atutak bra bra !!!! Unapotezea mdaSawa Mkuu. Ila hapo nakuwa nimeiba nini cha mtu ?