Hawa jamaa wako karibu sana, na Tundu Lisu ana mahaba kweli kweli na fisadi Lowasa, Tundu Lisu anasema uhusiano na Lowasa umezidi kumea na unakuwa siku hadi siku...!
Kasema lini na wapi? Acha umbea kama mwanamke wa kizaramo
Shida yako nini......Hawa jamaa wako karibu sana, na Tundu Lisu ana mahaba kweli kweli na fisadi Lowasa, Tundu Lisu anasema uhusiano na Lowasa umezidi kumea na unakuwa siku hadi siku...!
naona hata mwanamke wa kizaramo ana afadhali uyu amezidKasema lini na wapi? Acha umbea kama mwanamke wa kizaramo
Wewe inakuhusu nini kilaza mkubwa weweHawa jamaa wako karibu sana, na Tundu Lisu ana mahaba kweli kweli na fisadi Lowasa, Tundu Lisu anasema uhusiano na Lowasa umezidi kumea na unakuwa siku hadi siku...!
Akili zenu mmezisahau kwenye madogoriLowasa ndiye mwenye chama sasa na ni mfadhili mkuu kwa hiyo Tundu Lissu hana jinsi ya kumsema vibaya.