Sifi Leo
Platinum Member
- Mar 30, 2012
- 5,937
- 10,815
SI wengine Wala sipepeshi macho. Ni Bensoni Bagonza na Proffesa Anna Tibaijuka Nina hakika Dr Samia anawachukia mno kisa wanamshauri ukweli ila hao ni zaidi ya Baraza lake la mawaziri ambao hawana uwezo wa kuusema ukweli
Je Nini kifanyike kuwa na wahaya kama Hawa 100 tulikomboe taifa kutoka MIKONOni mwa waharabu koko? Iddi Mbaraka mwana jf na iddi mfaizina ukiona kimnya jua nipo na Shekhe mkuu aliyewasiliana na wakenya wakamjuza hawafungui Kisha wanafungua hahahahaha!🤣😂😝