Princebaric
Member
- Oct 29, 2021
- 5
- 1
Naitwa Prince, Nina miaka 25, education level ni form four na ujuzi wa mapishi bila vyeti. Kwa yeyote mwenye kujua mchongo wowote ule naomba connection 0676790241
Hata huko lazima kuwepo connection sio unaenda kichwa kichwaUshauri wangu nenda Zanzibar.. Fasta tu unapata kweny mahotel
Mapishi gani hasa?Naitwa Prince, Nina miaka 25, education level ni form four na ujuzi wa mapishi bila vyeti. Kwa yeyote mwenye kujua mchongo wowote ule naomba connection 0676790241
Naitwa Prince, Nina miaka 25, education level ni form four na ujuzi wa mapishi bila vyeti. Kwa yeyote mwenye kujua mchongo wowote ule naomba connection 0676790241
Bites na vyakula vya kiswahiliMapishi gani hasa?
Bites na vyakula vya kiswahiliUnajua kupika vyakula gani?
Hapana mkuu,ukijitoa tu kwenda kila mahotel utapata tena hata bila connection KBS...ficha aibu AF nenda kama una vipesa vya kula nakuhakikishia mwezi hauishi bila kupataHata huko lazima kuwepo connection sio unaenda kichwa kichwa