The ice breaker JF-Expert Member Joined Apr 20, 2023 Posts 1,119 Reaction score 2,436 May 4, 2025 #1 Kwanini vyombo vya ulinzi hapa Tz havitakiwi kujihusisha na siasa?
N Nanye Go JF-Expert Member Joined Oct 29, 2018 Posts 14,380 Reaction score 19,118 May 4, 2025 #2 The ice breaker said: Kwanini vyombo vya ulinzi hapa Tz havitakiwi kujihusisha na siasa? Click to expand... Vyombo gani vya Ulinzi havijiusishi na Siasa Tanzania? Wewe ni Mkenya?
The ice breaker said: Kwanini vyombo vya ulinzi hapa Tz havitakiwi kujihusisha na siasa? Click to expand... Vyombo gani vya Ulinzi havijiusishi na Siasa Tanzania? Wewe ni Mkenya?
Masagala JF-Expert Member Joined Jan 28, 2017 Posts 4,133 Reaction score 8,077 May 4, 2025 #3 Au umeandika kinyume chake
Xiao qui shui JF-Expert Member Joined Feb 26, 2022 Posts 6,447 Reaction score 11,315 May 4, 2025 #4 Watu hamlali tu
Bueno JF-Expert Member Joined Aug 16, 2022 Posts 34,609 Reaction score 59,647 May 4, 2025 #5 Kwa sababu hivyo vyombo hua vinakaa kabatini tu muda wote na hua havitumiki vipo km mapambo ya wanasiasa vinatumika kwenda kuangamiza wapinzani hivyo vyombo havifahi kwa kulia misosi
Kwa sababu hivyo vyombo hua vinakaa kabatini tu muda wote na hua havitumiki vipo km mapambo ya wanasiasa vinatumika kwenda kuangamiza wapinzani hivyo vyombo havifahi kwa kulia misosi