Nina shahada ya kwanza ya usimamizi wa fedha( bachelor of commerce in finance) natafuta kazi

bertha3

Member
May 29, 2021
16
18
Mimi ni msichana mwenye umri wa miaka 23, ninaishi Mwanza. Nina shahada ya kwanza ya usimamizi wa fedha( bachelor of commerce in finance).

Natafuta kazi kulingana na profession yangu either kwenye kampuni au Benki au sehemu yoyote nayoweza kufanya kazi.

Kwa Sasa nasoma CPA( certified public accountant) kwa level ya intermediate.Nina ujuzi wa kutumia computer vizuri( Ms word,excel, internet etc).

Kwa Sasa nipo Mwanza.Asanteni na nawatakia siku njema.
 
Mimi ni msichana mwenye umri wa miaka 23, ninaishi Mwanza. Nina shahada ya kwanza ya usimamizi wa fedha( bachelor of commerce in finance).
Natafuta kazi kulingana na profession yangu either kwenye kampuni au Benki au sehemu yoyote nayoweza kufanya kazi.
Kwa Sasa nasoma CPA( certified public accountant) kwa level ya intermediate.Nina ujuzi wa kutumia computer vizuri( Ms word,excel, internet etc). Kwa Sasa nipo Mwanza.Asanteni na nawatakia siku njema.
Kila kheri bi mdada,Mungu akufanyie wepesi
 
Hujaeleza umeolewa una watoto?

Maana inawezekana kazi ikawepo Songea,na wewe umeolewa na una watoto ukashindwa kwenda au hata ukaenda ukashindwa kufanya kazi kwa ufanisi kwa kuwaza familia yako,au kuomba ruhusa mara kwa mara.

Kila la heri.
 
Mimi ni msichana mwenye umri wa miaka 23, ninaishi Mwanza. Nina shahada ya kwanza ya usimamizi wa fedha( bachelor of commerce in finance).
Natafuta kazi kulingana na profession yangu either kwenye kampuni au Benki au sehemu yoyote nayoweza kufanya kazi...
All the best
 
Kila la kheri mkuu, ajira ni kizungumkuti siku hizi.

Hongera zenu mnaojazia nyama vyeti vyenu kwa CPA.
 
Back
Top Bottom