Size ya samaki wanaopatikana kwa wingi kwa sasa ni wale wanaovuliwa katika nyavu ya nchi 4 mpaka nchi 4.5...
PC moja ni samaki mmoja.Kwa size ya samaki wa nyavu ya nchi 4.5 wanaingia 2 katika kilo moja.Bei ya pc ni maelewano kulingana na soko lako au kama utahitaji kwa kilo napo ni maelewano.Mzigo nashushia mwanza baada ya makusanyo kutoka mialo mbalimbali ya ziwa victoriaPC moja ni sh ngapi,auPC 1000 ni sawa na kilo ngapi?unapatikana wapi?
unauzajeNipo Mwanza,lakini sato nawakusanya kutoka sehemu mbalimbali ya mialo ya Bukoba,sengerema na kyelwa
Ok,in that case kilo moja itakuwa 10K.🙆🙆5000
Habarini za majukumu ndugu wadau wa JF.
Ninafanya biashara ya kuuza samaki aina ya sato. Size ya samaki wanaopatikana kwa wingi kwa sasa ni wale wanaovuliwa katika nyavu ya nchi 4 mpaka nchi 4.5.
Kama kuna mdau anafanya hii biashara ya samaki mahali popote na angependa kupata mzigo kutoka kwangu namkaribisha sana.
Nina uwezo wa kukuanzia samaki wengi kulingana na mahitaji yako, hata kama utahitaji piece 1000.
Mauziano ni keshi mkononi, maana yake unahesabu mzigo wako kulingana na makubaliano then unakabidhi hela mkononi. Hiyo ndiyo heshima na nidhamu ya fedha ili tuepuke kurogana na kuuana kabisa.
Mashuleni na vyuoni unataka ale hasaraNimekusoma sana Mkuu Wangu.
Nina uzoefu Sana na Ziwani
1000 pieces ni sawa na Tani Moja au Tani kasoro.
Hao samaki ni Bungu wadogo.
Fanya hivi nenda kwenye mahoteli makubwa omba orda uwe unawasambazia pia mashuleni au vyuoni.
Pia soko la nje ya Nchi Kwa maelewano mazuri.