Nina mkosi

sweetito

Member
Joined
Jul 2, 2013
Posts
18
Reaction score
2
Mimi ni msichana wa miaka 23, katika maisha yangu ya mapenzi nimejikuta natongozwa sana na waume za watu au mwanaume ambe yupo kwenye mahusiano , jambo hili limedumu sasa kwa miaka 3 yani hadi ma baba wa rafiki zangu au kaka zao wananisumbua nina boyfriend ila pia ni mchuba wa mtu.
Nifanye nini nataka nipate wangu, wangu peke yangu .Nisaidieni jamani hivi inaweza kua nina mkosi
 
Pole mdogo wangu..! Kwanza kabisa acha kusema una mkosi maana maneno huumba..!!

Ukitaka upate wako, kwanza muache huyo mchumba wa mtu..!

Miaka 23 bado hujachelewa..!! Endelea kumuomba Mungu, iko siku utampata wako..! Kila la heri..!!
 
Mbona wako umeshampata? Ondoa shaka sweetito mpenzi mwema asiye na mpenzi mwingine nimewasili.

Mie naitwa saudari, ni dume la mbegu niliyekamilika kila idara, ni mpole, mkarimu, mpenda watu, nisiye na mchumba wala nini, nami nilikua natafuta wangu peke yangu, nimmudu niwezavyo.

Naamini sasa nimempata aliye wangu nawe pia umempata uliyekua unamhitaji.

Amini nakuambia "hakuna cha mkosi wala nini kwani leo hii umekutanishwa na yule aliyepangwa kuwa wako".
Jaribu kusogelea PM tuongee vizuri.
 
Last edited by a moderator:
Miaka 23 unajiita una mkosi? au unataka kujitia mkosi? Ushamaliza chuo au unafanya kazi? Uko tayari kuolewa kwa sasa au unataka tu uwe na mwanamume kama fashion? Acha kujisogeza kwa waume za watu; inaonekana unapenda kuwa karibu wa baba/waume wa watu jaribu kukaa nao mbali. Ni wakati wako mzuri wa kupanga maisha yako mume anayekufaa atakuja kwa wakati wake.
 
dah! eti anamkosi miaka 23? mimi mwenzio pia nina mikosi natakwa na wanawake wengi, nakila mwanamke anaenitaka anataka na mtoto kwa gharama zake....
 
23 years n u dat desperate! dogo acha izo bana...

mwenzio Smile yuko 38 yrs ila alimpata wa kwake peke yake..labda umuulize alimpatia wapi!!!!
 
Last edited by a moderator:

Huo umri wako bado mdogo sana. Kazania masomo yako. Elimu ndio ufunguo wa maisha yako. Hizo transfoma za tanesco chunga sana. utapigwa shoti sasa hivi. uanze kuvaa pampas.
 
kashtuka mapema
 
23 years n u dat desperate! dogo acha izo bana...

mwenzio Smile yuko 38 yrs ila alimpata wa kwake peke yake..labda umuulize alimpatia wapi!!!!
aisee hiyo miaka 12 umemuongezea nani?
 
wazee wa fursa utawajua tu
 
Last edited by a moderator:
Jieleze vizuri hapa ndo jamvi kubwa utampata wako kabisa. Tupia profile chap chap watu waithaminishe
 
Let go of the wrong choices to clear up the way for the good staff to find u...ni hayo tu
 
aisee hiyo miaka 12 umemuongezea nani?

Ahahaha...powleeee!

Ila on a serious note hebu msaidie kumweleza kuwa hajachelewa infact i think anajaribu kukimbilia maisha!!! there is a time when you need to be single and enjoy being single....most people dont understand this! yani hudhani as long as ashaanza kupata erection na chuchu zinasimama basi lazima awe na girlfriend/boyfriend who in actual sense are just sexmates!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…