umeona zanz, yan huyu king kong huwa ananichachafya sana! bas tu ila dawa yake ipo jikoniHahaha Kingkong na Fank nyie kama CCM na UKAWA,yaani huwa haziungi.
Frank unajua humu JF mtu akikubeza ndio anakupa akili na njia pia ujasiri.
Kuna watu wanaweza kukupa jibu kama unakula unaacha kwa hasira.
Nimependa ujasiriamali wako ni mzuri sana tu,ila kuwa makini sana.
Ngoja namie niige kwa huku Zanzibar maana gari hizo kibao zipo kwenye majumba ya watu wanafugia kuku.
Achana na mjinga huyo jamaa ni bwabwa.umeona zanz, yan huyu king kong huwa ananichachafya sana! bas tu ila dawa yake ipo jikoni
baraka mbona nakupigia simu haupokei?kaka ninauza gariyangu Baloon chaser ikovizuri na inatembea. bei poa 2ml. nitafute 0713377167
Kanda ya ziwa migombani?n jadi yang
Aisee mleta uzi tulikuzingua kumbe kweli gari za 2m zipo nyingi namna hii?
Kweli maisha rahisi.
Frank wiki ijayo hembu sukuma uzi wa kutaka gari la 1.5,naamini utapata.Maana kama 2m zipo nyingi hivi tena bila ku bargain basi ukisema 1.5 unapata pia.
Safi sana umetufungua macho wengine kwamba gari ni rahisi sana hasa hizi za kutembelea.
Ungefanya tu Suala la moja,ungepeta mtu njeya nchi akawa anakuletea Engine.Hapo ndio ungepeta.Maana zipo gari ambazo bodi kama mpya ila Engine ndio tatizo,sasa kama ukiset na Engine basi unauza bei nzuri sana tu.
gari hili hili la matairi manne lenye bodi na injini?
ntakutafuta mkuuUmeshapata? Kama bado corola limited 100 ipo na hali nzuri, tuwasiliane no, 0683447725
Ongeza mil 1 ili iwe milioni 3 nikupe Honda moja iko bomna mbaya...!
mi na milion 4. 5 kama kuna vits au swift au corolla premier karibu tuwasiliane no 0768851396 sawa wakuu! najaribu bahati lakibi
Wala usijali,kama Frank kapata ya 2m,basi wewe 4.5 ni kubwa sana.mi na milion 4. 5 kama kuna vits au swift au corolla premier karibu tuwasiliane no 0768851396 sawa wakuu! najaribu bahati lakibi
Uko serious pesa mkononi au unafanya window shopping mkuu?
Una kesi ya kutakatisha fedha mkuu, umkopeshe mtu 1.5m within 18days ulipwe laki5 as interest? E Mungu wangu, una dini kweli ww kijana? Ni dhambi kubwa hiyo unayofanya ndg yangu!