Nina milioni 2 nahitaji gari Automatic

ipo vitara manual panda mpka tatu nikupe gari
 
Ngoja na mimi niseme!

©©wakubwa wa mwanza jijini,, mimi kijana mwenzenu kwa kweli nina shida na ardhi. Hiyo ardhi iwe na thamani ya shilingi laki tano tu!

Tafadhali...

Ardhi hii iwe passable with cars.

All social services ziwe karibu sana.

Sihitaji ardhi iliyojaa mawe..©

Shukran... Wakazi wa mwanza changamkia fursa.
 
Wakuu take it from me, kama wataka nunua gari nunua kwa bei ya gari hilo, otherwise utageuka fund, ila kama jamaa ananunua na kuuza thats good for him, 2m it will cost u up to 4m before u realize kuwa umeuvaa mkenge.
 
nashukuru kwa kunielewa
 
Mwanza MJINI?!! Utakuwa mgeni wewe, laki tano hata igogo au mahina haupati sehem ya kujenga hata choo, jaribu busisi...LABDA!
 
Mwanza MJINI?!! Utakuwa mgeni wewe, laki tano hata igogo au mahina haupati sehem ya kujenga hata choo, jaribu busisi...LABDA!
Hahahaaa!

Mkuu busisi? si ni kupanda feri kabisa huko?
 
Hahahaaa!

Mkuu busisi? si ni kupanda feri kabisa huko?

hahahaa, huko ndiyo kwenyewe mkuu, kigambonino ya mwanza, kama unaweza we kakamate maekari tu,miaka mitano ijayo utaskia miradi ya hatari kule
 
wapendwa nahitaji gari la milioni 2 Automatic kwa yeyote aliyenayo

Ipo carina zile za zamani wanaziita ma.ta.ko ya nyani nataka 2m tu ni fixed price call 0713 234224
 
nimeishakuzoea king kong

Hahaha Kingkong na Fank nyie kama CCM na UKAWA,yaani huwa haziungi.
Frank unajua humu JF mtu akikubeza ndio anakupa akili na njia pia ujasiri.
Kuna watu wanaweza kukupa jibu kama unakula unaacha kwa hasira.
Nimependa ujasiriamali wako ni mzuri sana tu,ila kuwa makini sana.
Ngoja namie niige kwa huku Zanzibar maana gari hizo kibao zipo kwenye majumba ya watu wanafugia kuku.
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…