angalia PM YAKOIpo no C, piston 4..ipo vyema
poaaaIpo nitafute kwenye namba 0762415671
Ipo no C, piston 4..ipo vyema
Nikusaidie kitu kimoja,
Passo mpya imported ni 6.8Mil kila kitu hapo,
Wewe wataka kwa 5Mil, ina maana imepungua only 1.8mil.
Sasa basi kwa hiyo 1.8mil iliyopungua ni ndogo sana kwa wewe kupata gari yenye miaka mitatu au miwili hapa Bongo.
Yaani namaanisha kwa upungufu wa mil 1.8 usikubali kuchukua gari namba C, utakua umejila mwenyewe. Hapa namaanisha gari ilitumika zaidi Bongo (other things kept constant).
Ingekua wataka gari ya 10mil (ikiwa imported) kwa hiyo 5mil yako ningekushauri uchukue yoyote tu. Lakini wataka gari ya 6.8mil (ikiwa imported) kwa 5mil hapo unastahili kilicho bora zaidi kwa value ya pesa yako.
Pili hizi passo ziko za Piston 3 na 4. Mi nakushaurii chukua Piston 4 maana angalau injini inakua na nguvu, kuliko ya piston 3 unashindwa hata kwenda Morogoro. Maana hata ya Piston 4 still mafuta ni economical sana.
Mkuu mm nimemiliki passo miaka Kama sita hivi sina hamu na hizo gari, body yake Kila kitu kimeegeshwa tu, engene yake ni shida ukiwasha tu ac inakuwa inakosa nguvu kabisaEti wanasema kati ya passo na vitz bora kuchukua vitz.
Wanasema kuwa passo engine yake inasumbua sana. Na pia body yake laini.
What is your comment kaka.
Yeah,Eti wanasema kati ya passo na vitz bora kuchukua vitz.
Wanasema kuwa passo engine yake inasumbua sana. Na pia body yake laini.
What is your comment kaka.
Dahh we jamaa ya gx100 uiuze kwa bei gani? au mimi ndio sijaelewa hapa?Mbona sioni mkichangamkia hiyo hela
Nina Gx 100 kavu
6cylinder
148,000km
Namba za
A
Nipe hiyo hela
1g ikiwa vvti ni gati tamu sana mm nna alteza nimesafiri nayo umbali mrefu nikaipenda sana mafuta inanusa tuu kutoka dar na full tank ilikatia shelui taa ikawaka nikaweka tank nyingine tarime kwetu nikafika kwa sh laki 2 tuu nlikuwa homeMbona sioni mkichangamkia hiyo hela
Nina Gx 100 kavu
6cylinder
148,000km
Namba za
A
Nipe hiyo hela
1g ikiwa vvti ni gati tamu sana mm nna alteza nimesafiri nayo umbali mrefu nikaipenda sana mafuta inanusa tuu kutoka dar na full tank ilikatia shelui taa ikawaka nikaweka tank nyingine tarime kwetu nikafika kwa sh laki 2 tuu nlikuwa home
Ungepanda basi ungelitumia 50,000 tu. Robo ya gharama ulizoingia