Nina miaka 23 tu, lakini wanaotaka kunichumbia hawakatiki nyumbani. Nifanyeje kuwaepuka??

It won't work, maana wanatoka mbali wengine, so hata akiona kibao wakati kishafika atagonga mlango tu
Ndio unamuuliza shida yake akisema unasema hakuna mke afu mbona hiyo idadi ndogo sana 2 au 3 kwa umri huo ulipaswa kupokea angalau 5
 
Mkuu huyu si ni wew pia?
Screenshot_20190428-163315.jpeg
 
Ukifika hiyo 40 utakuwa unawavuta kwa nguvu waje hata kujitambulisha tu na hawatakuja
 
Jamani mm nina umri wa miaka 23 na nimetunukiwa shahada yangu mwaka jana tu, lkn bado suala la ajira ya kujiajiri ama kuajiriwa halijakaa sawa.

Lakini kinachonipa kero ni usumbufu ninaopata mimi na wazazi wangu wa kuwapokea hawa watu wazima ama wazee wanaotumwa na wanaosaka uchumba kwangu. Kila wiki wanakuja mara 2 au 3.

But I'm still too young kuingia kwenye ndoa now. Nataka nijiweke sawa kiajira kwanza and then in late 20s or early 30s ndiyo nitafikiria mambo ya kuolewa.

Naombeni ushauri guys, nifanyeje to stop these people from disturbing me and my parents? It is too much!


Endelea kuwaepuka alafu ukifika miaka 27 na watoto wawili bila baba uje tena na uzi unaosema "nifanye nini kupata mume na mimi ni single maza"
 
Bora tumemjua mleta uzi ni mtu wa aina gani. Asante
 

Yani bora tuu umeweka hii ... watu wanatuona wajinga sana ... sijui hawana kaz zakufanya
 
Bora uolewe, wakati utakapotaka kuolewa utakuwa ni skrepa tayari bi dada, kuna wenzako wana kila kitu lakini wanakosa wanaume wa kuwaoa wapo wapiga deki na katerero tu.

Cha msingi set timing zako kwa mtu unayemtaka, hisia zako zisizidi uwezo wako wa kufiri. Unaweza kuona uko sahihi kwa hisia lakini ukija kwenye tafakuri jadidi hauko sahihi.

Wakati nasoma kuna binti aliniganda kama ruba, baada ya kuona sisomeki alikuja gheto ghafla mida ya jioni akafunga mlango alinikuta peke yangu. Akasema mimi sitaki hela wala nini nataka uwe unanifanya tu huku analia. Basi sikuwa na la ziada nikaanza kubutua kombelela. Nilimbutua kwa miezi kama 5 mpaka nasepa chuoni.

Nini tatizo?binti alikuwa na nyodo alilipenda libabu la huko kwao kisa ana PhD ni lecture. Wa chuo fulani lakini halikuwa na msaada kwake.

Mpaka leo hii, Facebook anatupia picha za zamani amefubaa kama ndorobo. Never under estimate your enemy. Unaweza kuwa na malengo lakini kumbuka Hapa bongo mwanamke hutoboi bila mwanaume, kuna mifano ya wazi mingi tu.

Celine Dion aliolewa akiwa na miaka 18 tu. Angalia leo. Kikubwa jiheshimu hizo sababu za mimi mdogo weka kando! Una bikra mpaka useme mdogo.

Angalia anayekufuata usimuamini mpaka umfanyie majaribio. Moyo wa mtu ni msitu.
 
Usiolewe dadaangu ndoa zina changamoto nyingi wakati mwingine kwa mwanamke hupoteza dira kbs.
Mi dadaangu alisoma hadi harvard na alikuwa na matokeo mazuri.
Hadi sasa tunaongea hajaitumia elimu yake zaidi kukaa nyumban kulea watoto!kila akipata kaz mume kesho anaenda kuleta vurugu had sista anaachishwa kaz..
Usiolewe now subiri muda wako ufike au nitafute japo nikupe mtoto 1 then uendelee na maisha yko
Nyoka wa bustani ya Eden
 
si unakutanaga na nyuzi umu za watafuta mme...?
wanaotafta leo walikuwa km ww wakati wana umri wa 20s..
 
Jamani mm nina umri wa miaka 23 na nimetunukiwa shahada yangu mwaka jana tu, lkn bado suala la ajira ya kujiajiri ama kuajiriwa halijakaa sawa.

Lakini kinachonipa kero ni usumbufu ninaopata mimi na wazazi wangu wa kuwapokea hawa watu wazima ama wazee wanaotumwa na wanaosaka uchumba kwangu. Kila wiki wanakuja mara 2 au 3.

But I'm still too young kuingia kwenye ndoa now. Nataka nijiweke sawa kiajira kwanza and then in late 20s or early 30s ndiyo nitafikiria mambo ya kuolewa.

Naombeni ushauri guys, nifanyeje to stop these people from disturbing me and my parents? It is too much!
People can lie sha! 🤣🤣🤣
 
Naamin unadanganya , kwa sheria za kutaka mwanaume aktandkie bed na kuosha vyombo, nani akuoe ?nao wajinga
 
Back
Top Bottom