Nina matatizo ya kujamba

Badilisha aina ya chakula unachokula,wanga na baadhi ya protein husababisha gesi
 
Yupo mdada huko juu yeye biashara yake ni kuuza ushuzi tena kwa dolari, ni kama walileta hiyo story huku.
 
Tumia Mint leaves kwa kiswahili sijui ila nafahamu kwa kilugha. Tumia kila baada ya chakula ikiwa ya moto. Tumia maharagwe ambayo yamelowekwa kwa muda kama masaa sita kuondoa ile colour. Kama ni meupe fanya hivyo hivyo hivyo ile rangi ya maharagwe ina aina ya asid inayotufanya tujambe sana.
Huo ndo msaada wangu.
 
Usipende kula kula tu hovyo, kukaa kaa hovyo, uzembe uzembe.

Fuatilia vyakula unavyopendelea kula mara kwa mara vinalivuruga tumbo.

Mwisho kabisa usijiendekeze sana, jizuie zuie kidogo kidogo, ukijizoesha kujiachia tu basi utazoea kweli kila muda vinajileta vyenyewe.
 
Kunywa maji ya kutosha,ukila vyakula vigumu hakikisha unakula na matunda kama embe,papai mboga mboga kusaidia mmeng’enyo kwani hicho kigumu kinafanya utumbo upateshida yakumeng’enya nakupelekea ushindwe kupata choo na taka inapokaa kwenye koloni, huchacha, kupelekea kutoa gesi ya ziada, acha soda,pombe, chemsha tangawizi unywe ni nzuri pia kwa shida za tumbo!
 
Kwan ushuzi unanuka au haunuki Kama haunuki achiaa Bab ukiwa peke ako hat mm nikiwa pekea ngu napenda sna kuachia africa sunyazwinyi cha asbu lipuaa vzr
 
Reactions: ABJ
Lkn pia marinda yako hajawai tumika kwa Kaz zozote zile ukiacha kunya cheki out marinda Kama Kuna lenye itilafu fatilia bawasili
 
Reactions: ABJ
Ni dalili ya kutokuwa na maji ya kutosha ongeza kunywa maji na ikibidi usinywe maji baridi kunywa ya kawaida
 
Reactions: ABJ
Jamani nimekuwa Na matatizo ya kujamba
Mara kwa Mara
Na nikijizuia lazima nijiisi matatizo ya tumbo
Nilienda hospitali walisema ni gess tumboni nilipewa vidonge lakini bado tu na nyombeza nyombeza tu Tena Hata mbele za watu
Hii nchi ngumu sanaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Watu wanasema hivyo, sina hakika
Sidhani kama ni kweli mkuu.
Hiyo haki nadhani inatokana na chakula unachokua hasa kula hovyo.

Kuna vibonge wao hiyo ni asili yao, na kuna wale ambao ubonge umetokana na kula hovyo nadhani hao ndo wapo kwenye risky ya kujampajampa hovyo.
 
Nenda kapima inawezekana vidonda vya tumbo vimeanza kukunyemelea
 
Kula vyakula fresh, na achana na vyakula vinavyoongeza gesi
 
Tatizo unamix msosi sana... harage, yai, viazi n.k
 
Lkn pia marinda yako hajawai tumika kwa Kaz zozote zile ukiacha kunya cheki out marinda Kama Kuna lenye itilafu fatilia bawasili
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Aiseehh

Haya mzee sunyazwinyi[emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…