Nina mapenzi ya dhati; natafuta mchumba

Karibu kwangu ila mimi ni "mito mingi "
 
Papuchi no hadi ndoa, ssa haya mambo ya kuuziana mbuzi kwenye gunia, tutajuaje kama wet or dry ila maji sana tuandae na tambara la deki
Utaansaa siku ikifika
 
Mapenzi ya kweli kila mtu anayo , sema tu inategemea mtu uliyenaue unamchukuliaje hapo ndip upendo wakweli huja, lakini kama huna mpenzi huwezi kujua kama unamapenzi ya kweli maana bado huna mtu wakumpenda mapenzi hayo ya kweli…
Me ninayo sasa
 
Huyi sio mwanamke,ni dume anatuchezea akili zetu tu,ni kama wale akina richaabra,haiwezekani maswali yote anajibu vizuriiii,hata akipigwa madongo,
nehi nehi, ngastuka aisee
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…