kutoka chuo cha mzumbe,,natafuta sehemu yakujitolea ili kupata ujuzi zaidi kama unahisika tafadhali ni pm.
Jaribu kuapply LAW SCHOOL OF TANZANIA 2007[ 1] established under THE LAW SCHOOL ACT[2],Ambapo ukifaulu mitihani na kuwa Advocate [3] baada ya kuapishwa na jajimkuu wa Tanzania ( chief justice)[4],kutoka chuo cha mzumbe,,natafuta sehemu yakujitolea ili kupata ujuzi zaidi kama unahisika tafadhali ni pm.
Ll.B ni nini? Andika mambo yanayoeleweka kijana. Onyesha kuwa wewe kweli una Legum Baccalaureus (LL.B). Nani atamchukua mtu ambaye hajui hata pa kuweka herufi kubwa kwenye uandishi?
Dili hili. ChangamkiaG.P.A ngapi? kama una upper second nitafute!
school of law its expensive.. pengine ni moja ya sababu ya kutafuta kazi kwanza na pi hofu ya kushindwa kwakuwa sheria ni practise.. sio mbaya kama akipata ujuzi wa procedure zinavyokwenda then akijipanga aendelee sababu ni kweli s.o.l ni muhimu na ni lazima.Jaribu kuapply LAW SCHOOL OF TANZANIA 2007[ 1] established under THE LAW SCHOOL ACT[2],Ambapo ukifaulu mitihani na kuwa Advocate [3] baada ya kuapishwa na jajimkuu wa Tanzania ( chief justice)[4],
ll.b ni nini? Andika mambo yanayoeleweka kijana. Onyesha kuwa wewe kweli una legum baccalaureus (ll.b). Nani atamchukua mtu ambaye hajui hata pa kuweka herufi kubwa kwenye uandishi?
Mmmhpetro acha mashauzi yako..uliclear kile kimeo chako cha lawschool?
petro acha mashauzi yako..uliclear kile kimeo chako cha lawschool?
Mmmh
Cc p.e.m