Nina laki 2 nahitaji Desktop Computer

Nokla

JF-Expert Member
Joined
Aug 12, 2012
Posts
3,190
Reaction score
1,780
Kama unayo iliyotumika kidogo isiyo na tatizo lolote fully desk top computer inahitajika ASAP
 
Yani hiyo desktop siwezi jua sofa zake coz sizijui ila hiyo ilikuwa inafanya kazi yakuingiza nyimbo na kuburn CD INA mlango wa DVD lkn mengine sijui maana MTU alikwama nikanunua kwa bei nzuri nikaiweka ndani huwa abaitumia Mara chache Mdogo wangu yupo chuo akija likizo na anaisifia tu lkn mi sina muda nayo
 
Ila nakumbuka mdogo wangu aliniambia ni yakubadilisha window tu maana window iliyopo aliniambia imekaa sana japo aliniahidi atakuja kuniwekea yeye mdogo wangu lkn hajaiweka ipo tu
 
Uulipata desktop ok mimi ninazo
Ipo ya compac
Cpu:amd 2.6ghz triple core same to core i3
Ram:2gb ddr3
Hdd:80gb
Drive:dvdwitter
Pia ipo nyingine ina
Cpu:core 2 quad 2.5ghz mara mbili ya core 2 dual 4core
Ram:2gb ddr3
Hdd:80gb
Drive:dvdwitter
Zilikuwa za gaming hizo pc
Upo interest nifind 0716917896
 
Sh ngap mkuu
Ninayo njoo Kimara Bonyokwa piga 0784791233
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…