M meamba Member Joined Mar 11, 2014 Posts 9 Reaction score 2 Apr 15, 2014 #1 Habari zenu wana Jf,naombeni ushauri jinsi yakupata mtaji nimesajili kampuni ya ucontractor wa umeme sina cheti cha CRB maana masharti yao ni ya matajiri akina fulani sidhani kama tutaweza kujiajili naomba mawazo yenu.
Habari zenu wana Jf,naombeni ushauri jinsi yakupata mtaji nimesajili kampuni ya ucontractor wa umeme sina cheti cha CRB maana masharti yao ni ya matajiri akina fulani sidhani kama tutaweza kujiajili naomba mawazo yenu.