Nina haki ya kusikilizwa na ushauri wangu kufanyiwa kazi

Maghayo

JF-Expert Member
Oct 5, 2014
14,828
32,733
Ebwana WanaJF Mzuka!

Kama mwananch na raia nina haki ya kusikilizwa na ushauri wangu kufanyiwa kaz. Hata kama elim yangu ndogo

Kulikuwa na haja gani kuteketeza matrilion kwenye mirad ya Mabas yaendayo kas bomba la ges na yote tunaona yanavyotutokea puani watu wanakufa njaa hamna msos malaz dun afya mbaya watu wanakula viwavi.

Licha ya haya yote bado tunazid kuwa wajinga. Sasa hivi matrilion mengine yanatengwa kutandaza vyuma ardhini standard gauge rail ya Kati na miflyover wakati sukari inapanda bei ya vyakula haishikiki watu wana makaz duni maji shida. HELLO THERE WHAT'S WRONG WITH US??

Kwa nini tusingekomaa kwanza Kwa vitu muhim na lazima kama msos makazi bora na nafuu hili IQ Yetu itengamae na hivyo vitu vingine kama miflyover itajijia yenyewe tu tena Kwa watalam wetu outings.

Endeleen tu kutandaza hayo madawat wakati wanafunz kwao nyumbam wanalala pabaya msos wa shida kamwe hawatafaulu IQ Inazid kudidimia sana.
. Kila mrad chini ya hik chama Hata kiwe na manufaa Kwa wananch ni dilii tuu

UVIVU WA KUFIKIRI NA SIFA ZA KIJINGA
 
Rudi darasani ukajifunze kuandika kisha urudi hapa!

In short hujaeleweka ndugu.
 
Labda uandike maneno machache zaidi,waweza eleweka hapo binafisi sijakupata kabisa mkuu,ila kwa mbali ni kama ulitaka kulaumu jambo...
 
Back
Top Bottom