Nina diploma ya upelelezi wa makosa ya jinai natafuta kazi

mkia

JF-Expert Member
Mar 30, 2015
582
508
Anatafuta kazi kijana mwenye diploma ya upelelezi wa makosa ya jinai.
 
hiyo course inatolewa na chuo cha polisi kidatu chuo ambacho kinatoa pia mafunzo ya auxiliary police tanzania nzma ni hapo tu na ni lazima uwe member of military kama police
Hajasomea hapo wala chuo chochote nchini.
Ni rafiki yangu na si mimi. Nipo kwa niaba. Hajaisomea hapa tz
 
Nenda depo,ukimaliza unakabidhiwa mguu wakuku unaanza kazi katika kitengo cha upelelezi wa makosa ya jinai.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom