Majesty S P
Member
- Sep 24, 2020
- 62
- 88
Vijana wamechoka, na hii Ni moja kati ya dalili za kukata tamaa.hii kali ya mwaka sijawai kuiona hii.
Mkuu, mwenye njaa haaidiwi...😂😂Rais ameahidi ajira milioni 8. Kuwa na subira. Na wewe zamu yako itafika
Sasa hamna namna tusubiri ahadi tu maana tupo kwenye jamhuri ya North KoreaMkuu, mwenye njaa haaidiwi...😂😂
Upo sawa mkuu, maana "uchaguzi umeisha"uchaguzi umeisha"uchaguzi umeisha" waTanzania tuchape kazi..😇😇😇Sasa hamna namna tusubiri ahadi tu maana tupo kwenye jamhuri ya North Korea
Imagine magufuli kaogopa kujiajiri ameamua aibe kura, Trump anaogopa kutoka nje ajiajiri anang'ang'ania ikulu, bwana rajabu aliekula rc wa morogoro alilia sana asitumbuliwe kisa balaa la kujiajiri............ mkuu tema mate kaa kimya.Kwanini usijiajiri kama upo vizuri kwenye mambo ya umeme.Fani ya umeme ina kazi nyingi mtaani usiwazie kuajiriwa tu,jiongeze.
Haya maneno huwa siyapendi mtu akiandika ananichefua, mimi nimejiajiri lkn hata siku moja, siwezi mwambia mtu ajiajiri maana ukiona mtu anatafuta ajira maana yake kashindwa kujiajiri. Sasa wewe unamwambia alieshindwa kujiajiri, ajiajiri bahati mbaya mnaaosema hivo huwa mmeajiriwa.Kwanini usijiajiri kama upo vizuri kwenye mambo ya umeme.Fani ya umeme ina kazi nyingi mtaani usiwazie kuajiriwa tu,jiongeze.
Keyboard warrior.Kwanini usijiajiri kama upo vizuri kwenye mambo ya umeme.Fani ya umeme ina kazi nyingi mtaani usiwazie kuajiriwa tu,jiongeze.
Msiwapotoshe vijana angali wananguvu,mi mwanangu amemaliza chuo mwaka wa pili sasa yupo,ameanzisha kijiwe cha chips,anajipatia riziki yake.Amesahahu habari ya kuajiriwa amefikia kuongeza tawi lingine la kuuza chips,kaajiri wafanyakazi wawili,na hanitegemei tena.Keyboard warrior.
Hebu mpe tenda za umeme aje akupigie kazi.
Dogo ametisha sanaMsiwapotoshe vijana angali wananguvu,mi mwanangu amemaliza chuo mwaka wa pili sasa yupo,ameanzisha kijiwe cha chips,anajipatia riziki yake.Amesahahu habari ya kuajiriwa amefikia kuongeza tawi lingine la kuuza chips,kaajiri wafanyakazi wawili,na hanitegemei tena.