Nina Diploma ya Computer Science (ICT) natafuta kazi

Kasese1

New Member
Dec 28, 2016
3
1
Wapendwa najua hali ni mbaya kwa kila mtu, mimi ni mdada natafuta kazi ya ICT nina Diploma nimesoma pale UCC. Kwakweli swala la mshahara linazungumzika ila muhimu nipate kazi hali ni mbaya

Natanguliza shukran
 
Kasese1 swali hilo hapo juu ni muhimu sana please jibu watu wakusaidie japo kuna shuda ila bado kuna watu wana moyo wa kujitolea au sio kibuyu180
 
Wengne tuna diploma ya library and information science wadau tusaidiane, usawa unakaba huu
 
Wapendwa najua hali ni mbaya kwa kila mtu, mimi ni mdada natafuta kazi ya ICT nina Diploma nimesoma pale UCC. Kwakweli swala la mshahara linazungumzika ila muhimu nipate kazi hali ni mbaya

Natanguliza shukran
Ni inbox, details zako kwa ufupi.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom