Nina CCNA, natafuta kazi

Nina CCNA, natafuta kazi

codemaster255

Member
Joined
Aug 20, 2014
Posts
5
Reaction score
1
Wadau nina CCNA (Cisco Certified Network Associate ) pamoja na diploma ya Computer Engineering toka DIT kwa anayeweza nisaidia sehemu nikaweza jishkiza tafadhali msaada wenu.0715 425353.
 
mi nakushauli ndugu yangu ...kwa sasa ungetulia chini na ukaanza kujifunza
1.WEB PROGRAMMING AND DESIGN .....COURSE
2.ORACLE 11G DATABASE SYSTEM . COURSES
3.MULTI MEDIA AND GRAPHICS DESIGNER.... COURSES
4 .JAVA CERTIFICATION COURSE........

INGIA ONLINE JIFUNZE KUPITIA YOTUBE...JIFUNZEE NA KUELEWAA ....KAZI ZA IT NA TENDER AS PROGRAMMER.....LAKINI CCNA SIKU HIZI INA WATU WENGI....



 

Similar Discussions

Back
Top Bottom