Nina assigment MSITU WA PANDE jumapili tar.22 July 2012

Baba V

JF-Expert Member
Dec 29, 2010
19,482
9,517
Wanajamvi last week nilienda kule,nashukuru kwa kampani ya Cacico,Bishanga,Preta,Gwangambo,Erickb52,switlady na wengineo,but the mission was un accomplished,tommorow i'm going back there na safari hii Juma Mgaza ajiandae kuokota mtu.ila naomba mwenye BASTOLA aniazime,sina mchezo,Saint Ivuga niazime ile yako, ikishindikana kama kuna mwenye ile kama ya MALIMA ile kubwa niazimeni afu subirini majibu ya kiinteligensia toka kwa KOVU! Nitakieni kila la heri!
 
Me mwenyewe nakuja huko bila shaka ntakuja na bastola mbili lakini nta muazima jirani yangu Ahmed!

Usijali ntakupa moja!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom