Nina akili kama kompyuta

Maelezo hayo MPE mtoa mada anye jilinganisha na computer ndio maana nimemwambia akili zake finyu kujilinganisha na kitu kilicho buniwa na mwanadamu.

au na wewe hukunielewa nilimaanisha nini?
 
Maelezo hayo MPE mtoa mada anye jilinganisha na computer ndio maana nimemwambia akili zake finyu kujilinganisha na kitu kilicho buniwa na mwanadamu.

au na wewe hukunielewa nilimaanisha nini?
Huyo jamaa kujilingalinisha na kompyuta ilikuwa ni kama figure of speech...Sijaona alichokoseaaa...
 
Kama kweli una akili nyingi
Mpaka hapo ulipofika jiulize umeifanyia nn Tanzania...!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…