Nina 8 millioni.
Nahitaji Toyota IST
Cc 1290
Namba kuanzia DK na kuendelea
Hali nzuri ya gari...isiwe na mashida shida.
Sihitaji habari za dalali
Majina ya kadi ya gari yafanane na majina ya kitambulisho chako cha nida.
Karibuni!!
Msameheni ..!Mtoa post ni mdada nimeona mwandiko wake nimependa tu sauti yake "hai jamaani siiiiitaji dalali".
Kasahau madalali nasi tuna familia.πππππ