Nimweleze mama kuhusu huyu best friend wake?

Huwa nafurahia sana mtu akiandika huku anapachika vineno vya kiingereza katika kunogeshea stori. Story nzuri, nadhani KIGOSI ana sehemu ya kuanzia hapa aandae script vizuri tu.
 
Naona binti unatafuta tu laana, maana unalazimisha watu wajadili maungo na sehem za siri za wazazi wako....teh...😜 Hatari sana aiseee.....
 
Nimejaribu kuvaa viatu vyako , nikajaribu kuwaza hasara na faida endapo mama yako atajua , Dah mwisho binti, mama yako ni mtu mzima na baba yako pia ila hata msaliti ni mtu mzima pia ,sasa kuhusu mahusiano ya baba yako ya nje , hayo achana nayo maana hakika uwezo wa kuyazuia huna ila waza zaidi future ya mama yako hasa kwenye huo uwekezaji , maana huko huwezi jua nini kitaendelea mbele na huyu mke mwenza ,sasa nakushauri ufanye nini ili kunusuru future ya mama yako kwenye uwekezaji , ukweli ni kwamba hakuna mkamilifu , hivyo mfuatilia mchepuko wa baba yako katika mambo ya uwekezaji na utumiaji wa hela , pata udhaifu na mabaya aliyowahi fanya katika uwekezaji baada ya hapo, vitumie hivyo kuridhisha mama yako kuwa si vyema awe bussiness partner wake .

Kama mama yako atakuwa anakupenda na kukuheshimu ataishia hapo na itamsaidia zaidi , kuhusu uchepukaji wa mzee , wewe kaa pembeni iko siku atajua maana hakuna siri ya mapenzi inayodumu , ikijulikana , hao ishakuwa familia watasolve kibinadamu na mwisho utauona.
Ushauri tu.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…