Nimwacheje huyu mama?

Mkuu Bujibuji, nilikuwa nakusalimu tu..
Tupo mzee, tunapiga nyungu, tunajifukiza bangi, halafu tunaji-sanitize na gongo, hii ndio lockdown ya uswazi kwa mama muuza.
Wataalam wa tiba wanasema sanitizer imesheheni kileo, Tena wanasema Coronavirus wanakaa kooni kabla ya kwenda kwenye mapafu, basi sisi tunawakomeshaje hao virusi?
 
Tatizo huyo jamaa anaokota mademu hapo hapo ofisini. Atafute demu sehemu tofauti na hapo aone kama huyo mama atakwa kero.
 
Mwambie huyo dogo anitumie namba ya huyo mama niangaike na mzee mwenzangu halafu nimuachanishe nae kwa mbinu za kibaharia
 
Hivi mnywa gongo anaweza kupata korona kweli? maana ile inaunguza mapafu na virusi vikikumbana nayo lazima visande. Nawaza tu
 
akupe namba ya hilo jimama. itupie humu. nadhani muda si muda tatizo litaisha na hilo mama halitamtaka tena abadan
 
Kiongozi naweza kukupa MSAADA wa kuwaachanisha kama upo serious unataka akuache Ila ni Kwa njia ya Imani zetu izi za asili( Giza) kama unaitaji lakini kama hautaji pia basi.
 
Apo ni kujitayarisha kukosa ajira au uhamisho, ulijuwa uyo mama Kama unavyomwita alikuwa single? Ullichemsha kutokuchunguza na mashugamami wakikungangania athari zake ndo izo. Utakachofanya apo chochote wewe ndo utapata shida fanya maamuzi magumu broo, wajuulishe uongozi kazini ufukuzwe au upate uhamisho ukakae na mapenzi wako mbali na jimama.
 
Kwenye ofisi ninayofanya kazi niliwahi pewa stori hii

"Kuna mama mtu mzima aliwahi mpenda kijana mmoja smart pale ofisini akawa anagonga Raha za kikubwa na kijana .

Mama akanogewa kiasi kwamba wivu ulizidi kupitiliza sababu huyo mama alitalikiwa na mmewe na alikuwa na watoto wakubwa tu.

Siku szikaenda kijana anataka kutafuta wa umri wake afunge nae ndoa mama analeta kauzibe kila Mara

Jamaa akataka kuforce kingi ,ndio hapo Yule mama akamua kwenda kwa mganga akafanyiwa mafekeche aka muua jamaa"

Nilipofika tu hapo ofisini nikaambiwa be care Yule maza anapenda vijana achana nae .

Vijana kuweni makini msiendekeze akili za uchi sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hiyo ni rahisi sana.Dogo ale mzigo kiuvivu, yani apige mechi chini ya kiwango kila wakati mama anapo omba game.Hii itamfanya mama asimtamani sana dogo hivyo kumuacha. Kosa la dogo akipewa mzigo anasimamia ukucha.Akiendelea hivi walahi mama hatamuacha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…