xaxa,xo!! ndo maana unaachwa hujitambui. mwanaume mzima na korodani zako unaandika xaxa badala ya sasa ??
xaxa,xo!! Ndo maana unaachwa hujitambui. Mwanaume mzima na korodani zako unaandika xaxa badala ya sasa ??
Kila kitu ni maongezi wangu
Zungumza nae ujue moja
Hamna kitu kinakera kama mtu kujiamualia asiwepo wakati yupo. Yaani anakuwa unreachable!
Pole. Muulize. Akisema hakuna issue yuko kawaida (na uwezekano huu ni mkubwa), endelea na issues zako lakini huku ukiipanga akili yako sawasawa
nina mpenzi wangu kwa muda kama wa miezi mitatu hatukua pamoja coz kila mtu alkua mbali akishughulikia mambo yake but mawasiliano yalikua mazuri na hapakua na dalili yeyote ya kutengana lakini ni kama wiki mbili ivi tangu tumekua karibu tena lakini mwenzangu response yake imekua ndogo xana sometimz ukimpigia cm hapoke sms hajibu daa! simwelew inshort sasa najiuliza nikae nae nimwulize au nijue ndo tayari xo wangu tena