pole sana mpendwa kwa yaliyokukuta .mimi nadhani ni uoga unamsumbua huyu kijana na kuna mawili kimtazamo eitherHabari zenu wana jamii?
Mimi ni msichana mwenye umri wa miaka 20,nina boyfriend ambaye tulitokea kupendana sn. Ktk mahusianö ye2 ikatokea kuwa nimepata ujauzito kwa bahati mbaya.
Kiukweli cjawah kushiriki vitendo vya abortion hvyo niliogopa sn na kuamua kuitunza hii mimba kwa kuwa pia muhusika alikuwa tayari na aliniahidi kuwa pa1ja nami hadi mwisho na kuwa baba mzuri kwa kaming kid wake.
Tatizo,ni miezi5 sa2 tangu niwe mjamzto nyumbani kwe2 wanataka kumjua mwanaume aliyenipa mimba hii aende rasmi akajitambulishe na kuhaki2shia familia kuwa huu mzigo ni wake. Mwanaume hataki ht kusikia kwenda home,na kanihaki2shia hatafanya hvyo kamwe.
Mimi hii inaniumiza kichwa sn kwani cjui huyu mwanaume amepanga ni2 badae kwa kusema hvyo ingawaje ananihakikishia atawajibika km ba2 kwa mtoto wake . Then home watanielewaje coz ht cjui jibu la kuwapa. Nisaidieni ushauri wanajamii.
J ,kwenye red,sijakuelewa,hiyo mimba ya 'bahati mbaya' ndoooooo????Habari zenu wana jamii?
Mimi ni msichana mwenye umri wa miaka 20,nina boyfriend ambaye tulitokea kupendana sn. Ktk mahusianö ye2 ikatokea kuwa nimepata ujauzito kwa bahati mbaya.
.
J ,kwenye red,sijakuelewa,hiyo mimba ya 'bahati mbaya' ndoooooo????
sasa nikuulize kitu kingine,umeshamaliza shule,una ajira au kipato chako mwenyewe? au bado unategemea wazazi?
Kama una uwezo wa kujitegemea aidha kupitia ajira,kilimo au biashara basi wala usikonde,tunza mimba yako,zaa ,mpende mwanao,mtunze vizuri kwa kadiri utakavyoweza.Kama bado unawategemea wazazi basi wewe kuwa mkweli kwao kwamba alokupa mimba haelekei kukuoa na unaomba msamaha kwa lilitokea ,watakusaidia tu kulea mjukuu wakati unajipanga upya.Be strong wala usiogope,mambo haya ni ya kawaida sana,hauko peke yako.Abortion,no wala usiiwazie.
May be ni just uoga tuu wa huyo kijana maana anaona kama anaweza kuambiwa aje kuingia kwenye masuala ya ndoa wakati bado hajawa tayari
Na may ne anaona kuwa atakabidhiwa mke wakati bado hajawa tayari kufanya hayo
Kaa nae umshauri msimamo wa wazazi wako kuwa ni just kumuona tuu na kujua mwenye mimba ni nani na sio zaidi ya hapo
pole sana mpendwa kwa yaliyokukuta .mimi nadhani ni uoga unamsumbua huyu kijana na kuna mawili kimtazamo either
uoga kwa wazazi wako
msimamo wake wa kimaisha kwa sasa hauko vizuri anahofu ya kutoweza kutunza mimba +mtoto mtarajiwa
jitahidi kuvumilia jaribu kutafuta rafiki zake wakaribu waweze mkushauri .na kama wazazi wako wamekubali hiyo mimba yeye uoga wa nini kama ana mapenzi ya dhati kwako
maisha yana juu na chini mtangulize muumba (kama unamuamini) kwa sala yataisha tu maana inataka ujasiri sana kujilipua ...
Habari zenu wana jamii?
Mimi ni msichana mwenye umri wa miaka 20,nina boyfriend ambaye tulitokea kupendana sn. Ktk mahusianö ye2 ikatokea kuwa nimepata ujauzito kwa bahati mbaya.
Kiukweli cjawah kushiriki vitendo vya abortion hvyo niliogopa sn na kuamua kuitunza hii mimba kwa kuwa pia muhusika alikuwa tayari na aliniahidi kuwa pa1ja nami hadi mwisho na kuwa baba mzuri kwa kaming kid wake.
Tatizo,ni miezi5 sa2 tangu niwe mjamzto nyumbani kwe2 wanataka kumjua mwanaume aliyenipa mimba hii aende rasmi akajitambulishe na kuhaki2shia familia kuwa huu mzigo ni wake. Mwanaume hataki ht kusikia kwenda home,na kanihaki2shia hatafanya hvyo kamwe.
Mimi hii inaniumiza kichwa sn kwani cjui huyu mwanaume amepanga ni2 badae kwa kusema hvyo ingawaje ananihakikishia atawajibika km ba2 kwa mtoto wake . Then home watanielewaje coz ht cjui jibu la kuwapa. Nisaidieni ushauri wanajamii.
bahati mbaya means ckupanga kupata ujauzito kwa kipind hiki. Nimemaliza 4m six feb mwaka huu huu. Nategemea mwakani kurudi tena shule coz majibu c mazuri bt hthivyo am a good salunist ktk salun ya mamangu aliyoniachia. So am duing my time there nikijitafutia kipato.
Ama kweli wewe tindikali!!!!Hajaomba lawama,kaomba ushauri,na kama unaona huwezi kumshauri kwa hilo,PIGA KIMYA!ninavyojua mimi bahati mbaya haipo, ila kuna uzembe. Ulikuwa unakimbilia wapi? Hivi wakati unampanulia miguu ulikuja kuomba ushauri? Ndiyo maana mnafeli, lazima utakuwa na zero wewe.
MP cycle za wasichana wa umri wako huwa hazina msimamo sana,kuzihesabu sio jambo la kutumia kuzuia mimba kwani hazitabiriki!All in all,imeshatokea na kwa sasa inabidi uwe jasiri na mwenye busara,mimba sio sumu binti,kadri utakavyoonyesha ujasiri wa kumudu hii hali ndivyo baadaye utakavyoheshimika kama mama.Huyo jamaa ni muoga tu,wote tumetokea kwenye mimba,waeleze wazazi wako namna ya kuongea naye huyo man wako,then ukiweza mhakikishie kwamba hatolazimishwa kukuchukua ama kukuoa kwa sasa,vilevile...USISAHAU KUSALI!Mlilie Mungu wako wakati huu wa shida na atakusikia!ckatai condom ni njia nzuri ya kuzuia mimba,lkn c pekee. Mimi nilikuwa natumia njia ya kuhesab MP cycle yangu coz 2naaminiana na 2nazijua afya ze2. Bt stil this happen.