hata raha ya mapnzi siioni yaniMwache jamaa bhana anatengeneza pesa acha kulialia hapa. Naamin angekuwa msukuma mkokoten au angekuwa mtu wa kushnda nyumban bila kaz usingempenda. Kaz yake ndio imekuvutia umpende hvyo punguza mlomo. Kwahyo aache kazi aje mtazamane uson tu. Ww vp
Jamaa yako ni accountancy wa benki?
Ha ha ha utajuaje kama vitabu vimesomwa, daftari limeandikwa?Hata mi sijaelewa. Kwani ni lazima kuandika kwa lugha ya kingereza!? tuendelee tu na kiswahili chetu tuepuke aibu ndogondogo.
Kama we ni mtu wa kupenda yale mapenzi ya muda wote kupigiana simu, kuchati whatsapp, kukutana lunch time, jioni kuwa na mpenzi wako, muda wote unataka umuone one.. Mfanyakazi wa benki we hakufai. Wale jamaa wanaingiaga saa 1 asubuhi kutoka ni saa mbili usiku. Lunch ni dakika 10 then wanarudi dirishani.. Hakuna muda sijui wa kuchati wala nini. We tafuta mtu anaefanya serikalini au ambaye hana kazi ndio utaenjoy..
Jamaa yako ni accountancy wa benki?