Itakuja kula kwako maana hutajua D kapata taarifa saa ngapi na jinsi anavojitoa kwako atamtafta M kuna watu nawajua yaliwatokea ka yako mwisho kakosa yote kwahyo kumuandaa M kisaikolojia muhimu. Mficha maradhi pia inaonyesha hao wote wawatamani huna msimamo amua moja au huyo M uzuri umekuzuzua. Tena wakijua unawaxhaganya wewe utalia mno
All the best kufata kipendacho roho maana mapenzi ukisema umhurumie mtu bila kumpenda itakuja kukutesa na wewe kumtesa kwa kutokumpenda.Upo sahihi mkuu. Asante.
Wewe ni miongoni mwa watu uliyejitahidi kuijengea picha hii situation niliyonayo, na picha uliyoijenga ina usahihi mkubwa maana sijaweza kuandika kila kitu, nimelifupisha mno hili bandiko, lakini umeweza kusoma yasiyoandikwa.
Let's time not fool us, someone you knew in last 3 days, can be more important to your life than someone you knew in last last 3 years.
Nalichukua neno lako mkuu..! xfactor
Twende kazi kaka achana na uoga wa karma, pengine wewe ndio karma ya D kwa kumuacha boyfriend wake, inawezekana alimuacha bila sababu ili awe na wewe so ni mipango ya Mungu wewe kumuacha ili naye ajifunze.
Kamata tu M huyo na wewe akija kukutenda sio ishu Ndio maisha yalivyo cha msingi ni kwamba utakuwa na furaha.
Asomee hii comment mara 100 atatoka na uamuzi sahihi..Ngoja nikwambie kitu kaka Mungu fundi sana kinachokusumbua kwa sasa ni tamaa tu frust me. Hapo mke ni D na kwakweli umefanikiwa kutueleza hadi udhaifu wa D ika hujadiriki hata kidogo kutuambia udhaifu wa M. Ninauzoefu na hizi mishe M atakumwaga machozi na hutakaa uamini na utakavyo piga u-turn kurejea kwa D utakuwa usgachelewa sana na utakosa bara na pwani. Nenda kwenye maharusi katizame wanawake wanaoolewa they are very sasa wewe unataka wa kukuchallenge subili. Wanawake warembo sana ni mtego unaowamaliza majank wengi na wewe unataka kuwaonesha wana wa kitaa kuwa unajua kuchagua poa sisi watazamaji hatuna neno.
Ni mimi kaka wa D