Kuna rafiki yangu fulani hivi amenilalamikia mara nyingi kwamba kila akijaribu kujielezea kwa 'wadada' anachoambulia ni 'kuchezea za uso na vidochi', Je, wana JF kwani kuna namna gani ya kuongea?? Nimsaidieje huyu jamaa kwani amekata tamaa kabisaaaaaa....