Nimsaidieje binti huyu?

Kaka, hongera kwa kijukuuu! Maoni yangu yapo kwenye post namba 13, sina la zaidi!
 
Kama analipa mkuu nirushie mimi nipo LONELY and i need somebody beside....Mkuu fanya hima niunganishie dili hilo...
 
Maneno ya namna hii ndo anayonambia mke wangu; ila mimi nahisi inaweza fika mda kakaondoka na kutuachia mtoto.
Usijali ndugu yangu tena akifanya hivyo anakupunguzia mzigo na kukuachia mibaraka yote. Akiondoka we lea mjukuu halafu utakuja kuona yatakayotokea huko mbele. Mungu hatakuacha kamwe. Unajua kinachofanyika ni kwamba indirectly kipato chako Mungu alichokupa, amekupa na ziada ya watu wengine ambao ameshindwa kuwapa moja kwa moja wao kwa sababu anajua akiwapa moja kwa moja wahusika, hawatakitumia kama anavyotaka. The chances kwamba Mungu atakuongezea zaidi ni kubwa. Mtu hawezi kung'ang'ania kukaa kwako tu hivi hivi, kuna kitu amekiona kwenye familia na kuna ziada ya mpango wa Mungu. At any time t, binadamu tunaishi kwa kutegemeana, ni fact!
 

Kumsaidia ni vema, lakini jambo la kwanza hakikisha amekueleza nani ni baba wa mtoto wake, na ufanye mpango wa kumtafuta, kukutana nae na kujua mtakabali mzima wa atakavyowajibika na mtoto wake. Usije ukawa unalea mke wa mtu aliyetoroka mume ukakatwa mapanga bila kujua kisa!
 

duh! hapo kwenye bold nimeogopa.
 
Naona ugumu kumtimua, hata wife anakahurumia sana. Lakini najiuliza maswali mengi, hivi hakakujua kuwa mimba ni kubwa ya kujifungua???? Kanadai aloaleta alianza kukatafutia wanaume kakawakataa ndo maana akakatelekeza.
Anamtafutia wanaume na tumbo la kujifungua?hainiingii akilini.
 

Umetunza bomu nyumbani mwako ipo siku litalipuka na nakuambia mlipuko wake hautausahau maishani mwako,achana na huruma za ajabu ajabu wanawake wa namna hiyo ndiyo wanaoivuruga nyumba kwa taarifa yako.Kwa ushauri wangu kama una uwezo mkatie hata tiketi ya ndege kabisa
 

kwa kuwa umetendwa na mmoja usiwanyime wengine ambao una uwezo wa kuwasaidia fursa ya kuwasaidia,kama mkuu Tutor B ana uwezo wa kumsaidia dada asikate tamaa amsaidie tu cuz humu duniani tumeumbwa tofauti tofauti ili tusaidiane.
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…