Hapana mkuu sio dadaz nimtu wangu kitambo tu, minaona sio sawa angekausha tu maana hata mimi nagaramika sana kwenye mitoko yetu alafu nimfanya kazi taasisi nashindwa kumunelewa.Rudisha pesa ya watu kama mlivyokuwa mmekubaliana.
Si ni wale dadaz? Atakujazia shazi funga mwaka upate aibu.
Mwanaume ni provider siku zoteHahahahaa wanawake vichef chef sana daah.
Yani kutoa mshikowake kwaajili ya starehe zenu wote wanaona kama sio hakiyao.
Uzi wa litoto la first yearSisi wa vijijini sijui Tu comment nini
Yes but, hawa watu wanapenda miserereko sana hatakama anakipato bado atataka kuhudumiwatu, yani mtu kuwezesha game siku mojatu anataka marejesho!!, hayajui hata kumdanganya mwanaume kidogo nimekata shauri mkuu sirudishi alafunione atafanyaje.Mwanaume ni provider siku zote
Huyu mtoa mada anakijua kisasi cha Mwanamke ngoja aoneshwe shoo atajua hajuiHakuna kitu inakera kama hii....kmamaeeehhhh kama nyg zinaua ni bora kusubiri tu zikutoe roho.
Rudisha pesa ya watu, pesa ukope, uchi ukope mxyuuuu.
Nop, nimtuwangu almost 6 years sasa hatulipani kwenye hiyo michezo labda kama kunasupport namwezeshaga ila mara chache sana sababu anajiweza. Ila wakatiwote hajawahi kulipia game wala malazi hata mara moja.Umemkopa!!!!!
Mkuu wanawake wanazingua sana minataka nione atafanyaje sirudishi.Rudisha pesa yake acha longolongo
Kwanza hii tabia mbaya sana, yani hadi nmepata hasira..... wanaume wa hivi wauliwe 😂😂Huyu mtoa mada anakijua kisasi cha Mwanamke ngoja aoneshwe shoo atajua hajui
Hahahaaa sijakopa uchi mkuu, nimtuwangu miaka mingi sana na ilitokea bahati mbaya tu nilimaliza salio tena kwamatumizi yetu wawili sasa dakika za mwisho ndio tukaamua tuka jipopoe, kirafikitu nikamwambia misikopoa bana, akasema atalipia hotel alafu nimrudishie nikamwambia poa sasaleo ndio mamsj kibao anaulizia sijamjibu mbaka saizi. Sitarudisha nione atafanyaje sababu hana njaa niubahili wakishenzitu.Hakuna kitu inakera kama hii....kmamaeeehhhh kama nyg zinaua ni bora kusubiri tu zikutoe roho.
Rudisha pesa ya watu, pesa ukope, uchi ukope mxyuuuu.
Ningekua mimi ndio huyo mwamba, jana hiyo ndio ilikua siku ya kukuachaHahahaaa sijakopa uchi mkuu, nimtuwangu miaka mingi sana na ilitokea bahati mbaya tu nilimaliza salio tena kwamatumizi yetu wawili sasa dakika za mwisho ndio tukaamua tuka jipopoe, kirafikitu nikamwambia misikopoa bana, akasema atalipia hotel alafu nimrudishie nikamwambia poa sasaleo ndio mamsj kibao anaulizia sijamjibu mbaka saizi. Sitarudisha nione atafanyaje sababu hana njaa niubahili wakishenzitu.