Nimpende nanii?

Hawa nasikia ni vidume
Una maandishi machafu kabisa sijui kwanini mnachafua watu hivyo sijakutukana wala kukuongelesha jambo ila sipendi mazoea na watu waliochanganyikiwa humu please tafuta wasaizi yako niache mimi tafadhali kama unataka kupendwa huja nyimwa kapendwe tu.
Ila next time nitafute i am here waiting for you.
 
Usije tu ukampenda Khantwe...kwsbb ntakupenda namimi..!
 
Kaaa chini kunywa maji halafu soma tena ulichoandika
 
Wacha bwana[emoji134]
 
Pole sana mama
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…