Sijui kama kuna shortcut anaweza pitia, ila nadhani mwanao anatakiwa cha kwanza kuwa mvumilivu kwa maana kwa vile alisha chemka katika masomo mwanzoni hivyo itachukua muda paka channels zikae sawa.
Binafsi ningemshauri kwa vile amemaliza ngaz ya chet, anauwezo wa kuanza maisha taratibu wakati huo huo akirisit(kurudia)masomo ya physics, mathematics na chemistry.
Kama anamoyo na kujituma kwa dhat akifanikiwa kufaulu aende private A levo PCM then baada ya hapo nadhan kama matokeo yakiwa fresh tunamkaribisha UDSM college of engenearing (COET) kusona fani yoyote.
Ni njia ndefu ila ya uhakika zaidi.
Mungu ambarik saana mwanao,

Nadhani angeenda FTC like arusha tech na nyingine ila kuingia chuo kikuu lazima awe na principal ya mathematics... Physics sio muhimu as sio mother of engineering....
So advice him a reseat mathematics and other two subject in order to earn a degree...
Hebu fuatilia mbeya tech na Arusha tech.....
Mwanangu ana ndoto za kuwa mhandisi ila hakuwa na selection nzuri since yuko o level ujana ulimchanganya na kuacha masomo kama Physics na Hesabu ambapo physics hakufanya ila math alifanya na kupata F Baada ya hapo alitamani kuingia jeshini ila nilimzuia na kumsihi asome ili awe mhandisi kama mie baba ake nilimpleka Veta na alijiunga na kozi ya umeme kwa sasa ana hitimu ngazi ya cheti na amekuwa akinihasa sana kuwa anataka kusonga mbele na huko veta alipokuwa alikuwa anasoma hesabu na Engineering science pia Anadai anayapenda masomo hayo currently na kania ahidi kuyafaulu
.Wasi wangu je ataweza kukubaliwa kujiunga diploma na hatimae Chuo kikuu ile hali hana physcis o level na ana F ya hesabu? Kijana wangu huyu matokeo yake mengine yako ivi
-Chemistry D
-English D
-Biology D
-Geography D
-Civics D
-Kiswahili D
-History D
-Mathematics F
Naombeni ushauri wenu? noted matokeo hayo ni kabla ya Haya mambo ya BRN yani ni ya mwaka 2012 Kwa mantiki hio ana Four ya 28