Nimpe mimba kwanza?

Jumong S

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2013
Posts
7,450
Reaction score
10,807
Habari,
Kuna haka ka tabia kamekua sasa, mkaka unampa mimba mdada/mchumba then ndo utangaze ndoa, je kuna mapenzi ya kweli hapo?


Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
 
Hivi nyie watoto mmeambiana muweke thread zenu muda huu? Mara mwenzako anauliza kama binadamu alietunga kama ni pepo, wewe unakuja na uozo mwingine

Kuna mwenzako mwingine sijui ameuliza kitu gani sijui

Hebu taratibu nyie watoto!
 
Yapo, maana uwezo wa kupata mimba ndo ilikuwa kikwazo kwake. Kwa vile mimba inaoneka then hakuna dauti
 
Habari,
Kuna haka ka tabia kamekua sasa, mkaka unampa mimba mdada/mchumba then ndo utangaze ndoa, je kuna mapenzi ya kweli hapo?


Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums

Heading inauliza Nimpe "mimba kwanza?" kwenye swali unauliza vitu tofauti, sasa tujibu nini maana natafuta uhusiano kati ya heading na ulichouliza sijaupata!
 
Hivi nyie watoto mmeambiana muweke thread zenu muda huu? ' Mara mwenzako anauliza kama binadamu alietunga kama ni pepo,wewe unakuja na uozo mwingine ' Kuna mwenzako mwingine sijui ameuliza kitu gani sijui ' Hebu taratibu nyie watoto!
yaani hadi hamu ya kuingia MMU huwa inakata heading na alichoandika ni mashariki na magharibi
 
ni mambo ya kupimana uwezo kabla ...tusije kulalamikiana ndan ya nyumba bure
 
Hivi hawa madogo bado hawajafungua shule??:disapointed:
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…