Nimpate wapi daktari wa magonjwa ya ngozi?

Mwiyuzi

JF-Expert Member
Joined
Jun 30, 2011
Posts
854
Reaction score
452
Habari za saa hizi wanajamvi!

Nimekuwa nikisumbuliwa na rushes, matango tango kwa muda mrefu sasa, nimewahi kutumia Gentilene na dawa nyingine za kupaka but sijaona improvement yoyote, naombeni mnielekeze mahali ambapo ntampata daktari wa magonjwa ya ngozi.

Natanguliza shukrani!
 
Uko wapi Mwiyuzi?

Kama upo Arusha nikupe nambari ya simu ambayo nina Imani utakuwa umemaliza tatizo lako la ugonjwa tajwa!

 
Last edited by a moderator:
Mwanza Dr salvatory yuko bugando ila ni mlevi kumpata ni issue, halafu ni specialist pekee wa ngozi kanda ya ziwa lkn sasa lol!
mimi niko Dar, asante kwa kuwa tayari kunisaidia
 
Sijui upo mkoa gani,kwa Dar nenda pale dispensary ya UDSM monday to friday b4 noon,kuna daktari wa ngozi,they say ni mzuri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…