Kwa kuwa hela ni yake, na hekima yake ilimuonesha hiko anachofanya ni bora zaidi, na tayari ameshanunua,
Mwambie tu ''Simu nzuri sana hio mke wangu, Hongera''. Wewe endelea kupambana. Wewe ni mwanaume kukata tamaa kuliisha siku ulioita mama. Ukimlaumu utakua unakosea.
Ila kama hela ni yako halafu kaichukua tu bila idhini yako, Mnapaswa kuzungumza.
Ooopss!! kumbe sio wewe Shark, mwambie huyo jamaa yako mkuu.
Shemeji yangu anafanya kazi na yeye. Mshikaji kweli hayuko OK financially this time maana hata hiyo Ada nimemsaidia kuipunguza. Na hata ukikutana nae kidogo kapoa hivi.
Ila sasa Shem hata kama Mwanaume ndio Head of the Family sio kihivyo, Wanawake wa siku hizi wabinafsi sana. Sio lazima mwanaume ampigie magoti ndio ampe, angekua muungwana tu!!
Nikiandika hapa zaidi, ndio chuki dhidi ya shemeji yangu huyu inavyozidi kuongezeka!!
"Mkuu,
Huyu shemeji yako simuelewi kabisa, hali yangu kwa sasa sio nzuri,
Keshokutwa tarehe 15 natakiwa nilipe School Fees za Watoto 1.5Mil, pia
Mama Mgonjwa kijijini natakiwa nimtumie hela ya matibabu, haya yote
anayajua, cha ajabu eti Jana karudi na simu mpya IPhone 6 kanunua 1mil,
eti kaikuta rahisi akashindwa kujizuia na kuvumulia, nishauri nimfanyaje
huyu mwanamke Ndugu yangu"
Hii ni whatsapp iliyoingia kutoka kwa rafiki yangu kipenzi mchana huu.
Nimejaribu kujiuliza sipati majibu, msaada wenu please!!
hayo ndo yale yale ya wema eti kanunuliwa BMW na meneja akat hyo meneja anaendesha VITZ
mkuu hata kama ndo hivyo ina maana ndo kila kitu juu yangu